Kwa taarifa iliyoifikia millardayo.com leo asubuhi ya May 29 2016 ni ajali iliyohusisha moja kati ya Mabasi yaendayo haraka na gari ndogo aina ya Vitz New Model eneo laMagomeni Usalama Jijini Dar es Salaam baada ya gari hizo kugongana, tunazifuatilia taarifa zaidi na nitakuwekea hapa hapa millardayo.com
Source: milardayo.com
0 comments:
Post a Comment