Chris Brown akiwa na mwanaye Royalty.
MWANAMUZIKI Chris Brown ameamua kumtumia mwanaye Royalty kwenye albamu yake ya Royalty ambapo alionekana studio akipiga picha za pozi kwa ajili ya matangazo ya albamu hiyo akiwa pamoja na mwanaye.
Chris Brown, aliandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa kwenye maisha yake msichana pekee mrembo ni mwanaye Royalty, kisha akawaomba mashabiki wamsaidie kutupia picha zake ambazo amepiga naye ili waitangaze albamu yake.
Aliendelea kufunguka kuwa, mwanaye ana maana kubwa sana kwake na anakuwa na furaha.
Source: Global Publishers
About Mind 2024
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment