RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMISHENI WA UMOJA WA AFRIKA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA LIBYA



Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika nchini Comoro Leo amekutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa, Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma kuzungumzia hail ya siasa nchini Comoro. Katika Mkutano huo, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwasilisha taarifa ya ziara maalum aliyoifanya Comoro tarehe 1 Desemba, 2015.

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya, Mheshimiwa Mohammed Al-Dairi aliyemtembelea na kufanya nae mazungumzo jijini Johannesburg pembezoni mwa Mkutano wa China na Afrika.

Source: Michuzi blog
Share on Google Plus

About Mind 2024

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment