Sikiliza wimbo wa mama Dottie Rambo mwimbaji maarufu wa nyimbo za dini zenye matumaini makubwa. Kwa bahati mbaya mama huyu alifariki kwa ajali ya gari, lakini bado anaishi kwa nyimbo zake nyingi ambazo ametunga na kuimba. Barikiwa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment