Ngugu, jamaa na marafiki wote, napenda kuchukua fursa hii ya pekee na adhimu, kuwa karibisheni nyote kwenye mkutano mkubwa wa injili wenye mafundisho makubwa ya imani, unaoendelea katika kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni Mwembechai,
Dar Es Salaam.
Ni matumaini yangu kwamba nyote mtabarikiwa kwa kushibishwa vyema na ujumbe wa neno la Mungu unaohubiriwa na mchungaji Greg Davis kutoka kule nchini Ghana. Tafadhali sambaza ujumbe huu, umfikie kila mtu ili sote tupate fursa ya kupokea mibaraka hii ya pekee.
Mahubiri haya pia yanarushwa hewani kila siku kupitia kituo cha redio cha Morning Star kuanzia saa tano na robo asubuhi mpaka saa sita mchana. Waweza kufuatilia mahubiri hayo katika masafa ya 105.3 FM.

Mungu na azidi kukubariki sana.
0 comments:
Post a Comment