Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya jiji la Dar es Salaam na kuagiza watu wote waliohusika na upotevu wa makontena 349 kukamatwa mara moja.
0 comments:
Post a Comment