Sentensi 7 za
Mbowe nje ya Mahakama baada ya kuruhusiwa kuaga mwili wa
marehemu Mawazo
Mwanza.
Ishu ya viongozi na
wanachama wa CHADEMA kuzuiwa kuaga mwili wa Marehemu Alphonce Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Geita imekuwa ikiripotiwa na kuandikwa
kwenye vyombo vya habari huku ikisubiriwa kutolewa majibu naMahakama Kuu Mwanza kuhusu hatma ya zuio hilo.
Leo maamuzi ya Mahakama Kuu Mwanza yametoka na majibu kwamba wanaCHADEMA
na viongozi wao wamepata kibali cha Mahakama hiyo kuendelea na shughuli za
kuaga pamoja na mazishi ya kiongozi huyo.
Source: milardayo.com
0 comments:
Post a Comment