Ajali mbaya eneo la Mikese, Morogoro.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Daladala likiwa limetumbukia mtaroni maeneo ya Sinza Mapambano.

Toyota Coaster T 916 BQEÂ ikiwa imetumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano. Ikionekana kwa nyuma ilipokuwa ikivutwa baada ya kutumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano.
Ajali ya Lori kugonga treni eneo la Karume jijini Dar es Salaam.

Injini ya treni almaarufu kama kichwa cha treni kikiwa nje ya njia yake (reli), jirani na machinga complex, barabara ya Kawawa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 27, 2015, baada ya kulibamiza lori lililokuwa na shehena ya ngano mali ya kampuni ya Nyati. Dhahma hiyo ilitokea mapema asubuhi, lakini hadi inafika saa nane mchana, bado shughuli ya kukirejesha kichwa hicho kwenye nia yake ilikuwa pevu ambapo muda wote huo barabara ya Kawawa kutoka machinga compelex hadi kwenye mataa ya...
Kwa wale wanaohitaji kutengeneza kipato cha ziada mtandaoni, kama vile kina mama walioko majumbani, wanafunzi, wastaafu na wafanyakazi wanaopenda kujipatia kipato kingine zaidi ya walicho nacho.
0 comments:
Post a Comment