BREAKING NEWS :ZITTO KABWE AFICHUA UFISADI MPYA SERIKALINI ZAIDI YA BILIONI 900 ZAPIGWA NA WAJANJA


MBUNGE wa jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo,Zitto Kabwe amefichua kuwa katika mwaka wa huu wa fedha Serikali imepoteza jumla ya bilioni 900 huku asilimia 15 ya pesa hizo zikipotea katika sekta ya kodi.

Huu unakuwa mfululizo wa mabomu yanayofichuliwa na Mbunge huyo machachari huku ikiwa ni ndani ya wiki moja tu toka kufichua ufisadi wa zaidi ya trilion 1 uliofanyika wakati wa uuzwaji wa hati fungani kutoka katika Serikali kwenda kwa benki ya Stanbic Bank


Kwa wale wanaohitaji kutengeneza kipato cha ziada mtandaoni, kama vile kina mama walioko majumbani, wanafunzi, wastaafu na wafanyakazi wanaopenda kujipatia kipato kingine zaidi ya walicho nacho.

Share on Google Plus

About Mind 2024

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment