"Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele miaka yote na tukaonekana wabaya. Tuko sambamba na wewe tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze upanga wako wala usijali vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya Mungu iwe nawe".
Kwa wale wanaohitaji kutengeneza kipato cha ziada mtandaoni, kama vile kina mama walioko majumbani, wanafunzi, wastaafu na wafanyakazi wanaopenda kujipatia kipato kingine zaidi ya walicho nacho.
Bonyeza hapa ujiunge na uanze kuvuna hela
Bonyeza hapa ujiunge na uanze kuvuna hela
0 comments:
Post a Comment