MASTAA BORA WA SOKA 2015

Hawa ndio mastaa wa soka waliotajwa kuwa bora zaidi 2015…

Mashabiki wengi  wa soka wanaamini nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye bora duniani..lakini kuna hili gazeti moja kutoka Ufaransa la L’Equipe limeorodhesha wachezaji 100 waliofanya vizuri kwa mwaka uliopita wa 2015.
Katika orodha hiyo Ronaldo pamoja na mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski wamefanikiwa kuingia hatua ya tano bora.
Mastaa waliofanikiwa kushika nafasi tatu za juu ni Lionel Mess, Neymar pamoja na Luis Suarez.
Milardayo.com
Share on Google Plus

About Mind 2024

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment