Tunatoa huduma za kufasili vitabu, majarida, vipeperushi, barua na vingine vingi kwa muda mfupi na katika ubora wa hali ya juu.
Tunafasili katika lunga mbalimbali ikiwa ni pamoja na Kingereza, Kifaransa, Kichina, Kiswahili na Kijerumani.
Wasiliana nasi kwa namba hizi - +255 784 210110
- +255 658 410110
- +255 759 410110
Au unaweza kututumia barua pepe kwa anuani hii: fare210@gmail.com
** Karibu kwa huduma bora kabisa **
0 comments:
Post a Comment